HEALTH DAY: Zimetajwa hizi kuwa ndiyo nchi zenye wananchi wenye afya duniani.! Bofya picha hii kusoma story yote.

Katika kuadhimisha Siku ya Afya Duniani 2017, Bloomberg Health Index imeziorodhesha nchi 25 zenye wananchi waliokuwa na afya nzuri ambapo Italia imetajwa kama kinara kwa kuwa na wananchi wenye afya na wanaoishi kwa miaka mingi hadi kufikia miaka 100.
Sierra Leone imetajwa pia kuwa miongoni mwa nchi zenye wananchi wasio na afya duniani na kwa mujibu wa list hii nchi zilizotajwa zinaongoza kwa kuwa na asilimia chache ya vifo kwa mwaka huku zikiwa na hospitali za kutosha,
asilimia ndogo ya magonjwa ya kuambukiza na wananchi wake huishi miaka mingi ukilinganisha na nchi nyingine.


Comments
Post a Comment