Sheria mpya zitaanza kutekelezwa
katika jimbo la magharibi mwa Uchina la Xinjiang, ambako utawala wa
Beijing unaaendeleza kile wanachokisema ni kuzuia ueneaji wa itikadi
kali.
kume kuwa na visa vya makabiliano makali ya mara kwa mara baina ya maafisa polisi na wakaazi wa jimbo hilo la Uighurs, linalotaka kuwa na mamlaka na uhuru zaidi.
Wapinzani wa sheria hizo wanasema zinalenga kukandamiza utamaduni wa jamii ya waislamu wa wa Uighurs huko Uchina.
Sheria mpya zitaanza kutekelezwa
katika jimbo la magharibi mwa Uchina la Xinjiang, ambako utawala wa
Beijing unaaendeleza kile wanachokisema ni kuzuia ueneaji wa itikadi
kali
Miongoni
mwa hatua wanazochukua ni kupiga marufuku mavazi ya wanawake ya niqab
au burka ya kuziba uso au kufuga ndevu ndefu kwa wanaume wa jamii ya
waislamu wa Uighurs.
Comments
Post a Comment