Kwa mara ya kwanza, kampuni ya muziki ya Mdundo.com inayowezesha
mashabiki kupakua nyimbo mbalimbali za wasanii wa muziki hapa nchini
Tanzania na Afrika Mashariki kiujumla,
Ijumaa hii, Machi 31, 2017 imefanikiwa kutoa tuzo kwa wasanii ambao wameshinda kutokana na wingi wa upakuaji wa nyimbo zao.Kutoka Kushoto: Meneja wa Songa, Chin, Songa, Sintah (Mdundo Tanzania), Tiddy Hotter na Prisna Nicholaus (Mdundo Tanzania)
Katika tuzo hizo wasanii waliopata ushindi ni pamoja na Ben Pol ambaye amefanikiwa kuchukua tuzo mbili, Msanii wa bora wa Afropop pamoja na wimbo bora uliopakuliwa zaidi, huku tuzo ya msanii bora wa hiphop ikichukuliwa na Songa.
Washindi hao walipata nafasi ya kujumuika pamoja na kupata chakula cha mchana katika maeneo ya Masaki kwenye kiota cha Alcove Restaurant.
Tuzo hizo ambazo zilikuwa zinawaniwa na wasanii mbalimbali, zilikuwa kwenye vipengele vikuu vitatu:
Kipengele cha wimbo ulio pakuliwa zaidi:
Washiriki:
1: Enzi Za Utoto – Songa
2: Forever – Ruby
3: Juu – Jux and VanessaWashiriki:
1: Barakah Da Prince
2: Belle 9
3: Ben Pol
4: Christian Bella
5: Jux
6: Maua Sama
7: Mo Music
8: Navy Kenzo
9: Ruby
10: Vanessa Unaweza ukatazama hapa picha za tuzo hizo:

Comments
Post a Comment