Toka Javier Hernandez auzwe kwenda Bayern Leverkusen ya nchini
Ujerumani,
maisha yake kisoka yamebadilika sana na kasi yake ya ufungaji imekuwa ni kubwa sana kiasi kwamba kila mtu anamzungumzia.
Wakati Chicharito akiwa anafunga sana magoli huko aliko, inaonekana tatizo la ufungaji ndani ya United halijapata tiba bado kwani pamoja na kufunga sana lakini Zlatan Ibrahimovich anaongoza kwa kupoteza nafasi.
Jose Mourinho analijua hilo na akakiri kwamba kama mtu aina ya Chicharito angekuwepi ndani ya Manchester United, baasi hadi hivi sasa angekuwa ameshafunga magoli zaidi ya 20.
Chicharito hakuwa na bahati ndani ya Manchester United lakini bado ni kipenzi cha mashabiki wa timu hiyo,
michezo mingi aliyoingia akitokea benchi alifunga magoli muhimu lakini Van Gaal alimuuza huku mashabiki wakiwa bado wanamtaka.
“Nataka nikupe mfano, kwa jinsi tunavyocheza mpira na kwa jinsi tunavyoshambulia hadi sasa Chicharito angekuwa na magoli 20 au zaidi hata kama angecheza kwa dakika 10 au 20 tu za mwisho, ni mchezaji ambae akiwa ndanj ya box anahakikisha mpira umeenda kambani’ alisema Mourinho.
Mourinho anasema sio kwamba wachezaji wake ni wabaya,hapana, bali hawana ile hulka ya uuaji wa magoli kama ilivyo kwa Chicharito,
Mourinho anaona nafasi ambazo Pogba amegongesha mwamba, mtu kama Chicharito angeitumia mipira hiyo hiyo inayotoka kugonga mwamba kuweza kufunga,
haijaeleweka kama United wanataka kumrudisha Chicha klabuni hapo au vipi.

Comments
Post a Comment