WANAFUZI KATIKA CHUO CHA UANDISHI WA HABARI NAUTANGAZAJI{A.J.T.C}ARUSHA KUFANYA MAHAFALI YA KUMALIZA CHUO......//
17,November,2016.
Wanafunzi
wanaomaliza masomo katika Chuo cha uandishi wa habari na utangazaji{ARUSHA JOURNALISM TRAINIG COLLEGE}wanatarajia kufanya mahafali ya
kumi namoja{11} kwa chuo hicho ikiwa nipamoja nakuwaaga wanafunzi hao chuoni hapo wakiwa wanamliza masomo yao kwa
ngazi ya stahahada kama ilivyokawaida ya kila mwaka kwa chuo hicho.
Mahafali
hiyo ambayo itafanyika katika viwanja vya
PPS maeneo ya JR. MBAUDA natayari maandalizi yakutosha kuelekea hafla
hiyo kubwa yameanza kufanyika kikamilifu zaidi.
Akizungumza
katika eneo la ukumbi wa uwasilishwaji wa vipindi vya radio na television
katika chuo hicho mmoja wa wakufunzi chuoni hapo Mwalim ONESMO ELIA MBISE{pichani}amesema wanafunzi hawana budi kufuata
sharia za chuo hicho.
“Unapokuwa
chuoni unapaswa kutambua wajibu wako kama mwanafunzi ikiwa ni pamoja na
kuhudhuria hapa katika eneo hili lakini pia kuhudhuria madarasani”Aliongeza
nakusema Mwalim huyo baada ya tetesi kuzagaa kwa wanafunzi wengi chuoni
hapo wakidai kuwa kesho ijumaa itakuwa
hasa nisiku ya maandalizi{namasomo yatakuwa haba jambo ambalo si kweli} kuelekea hafla hiyo kubwa
ambayo hufanyika kila mwishoni mwa mwaka.
Mahafali
hiyo inatarajiwa kufanyika tarehe 19 mwezi November 2016 siku ya Jumamosi
,licha ya uongozi wa chuo hicho kutoa mualiko kwa watu wote bila kuchagua rangi
wala kabila katika kuhudhuria mahafali hiyo adhim bila kukosa.
Hata hivyo
makam mkuu wa chuo hicho Bwana ANDREW
NGOBOLE nae ameweza kuzungumzia hilo
kwa nafasi yake nakusema kuwa idadi ya wanafunzi wanaotarajia kumaliza
chuo kuelekea hafla hiyo nzito kwa mwaka huu imepungua mpaka kufikia thelathini
nambili{32} ambayo ni dadi ndogo tofauti namiaka mingine ambayo ilikuwa zaidi
na idadi hiyo tajwa.
Imeandaliwa na
SWALHA H. JUMA Kutoka chuo cha
Uandishi wa habari na utangazaji{Arusha Journalism Training College}.







Comments
Post a Comment