Bi Mwenda
ni moja kati wa waigizaji wa muda kwenye soko la uigizaji Tanzania tangu
anafanya tamthilia mpaka filamu. Mara nyingi tumekuwa tukimuoa akivaa
uhusika wa mchawi, mganga ama mama anayejihusisha na imani za
kishirikina, hali ambayo imesababisha watu wengine kufikiri kwamba
ndivyo alivyo kwenye maisha yake nje ya camera.
>>>Mimi
huwaga nashangaa jinsi ambavyo ma drector wanavyoniongoza pale, maana
mimi ni msanii siwezi kukataa sehemu yoyote kwenda ni kama bakuli kwenye
kabati mboga yoyote ile itapakua sana sana ma director wagu ndivyo
wananielekezaga hivyo lakini sio mchawi, sina roho mbaya..
>>>Niliwahi
kupigwa kipindi cha nyuma ilikuwa mwaka 2005, nilipigwa nikapigwa
kariakoo,sabasaba nilipigwa, kwaajili naelewa kuwa hiyo i kazi yangu,
sikuitilia maansana ani –Bi Mwenda
Comments
Post a Comment