Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Waziri wa Afya Mhe,Mahmoud Thabit Kombo mara alipowasili katika uzinduzi wa majengo mapya ya Wodi ya Kinamama na Watoto katika Hospitali ya Mnazi Mmoja leo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Naibu Katibu Mkuu wa Wizari ya Afya Nd,Halima Maulid mara alipowasili katika uzinduzi wa majengo mapya ya Wodi ya Kinamama na Watoto katika Hospitali ya Mnazi mmoja leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akifuatana na Waziri wa Afya Mhe,Mahmoud Thabit Kombo pamoja na Viongozi wengine mara alipowasili katika uzinduzi wa majengo mapya ya Wodi ya Kinamama na Watoto katika Hospitali ya Mnazi Mmoja leo
Comments
Post a Comment