Hatimae robo fainali ya michuano ya Champions leauge imewekwa
hadharani,baada ya timu 8 kufudhu sasa zitapambana kwenye wiki ya tarehe
10 April ili kutafuta timu zitakazocheza nusu fainali ya champions
league.
Mabingwa watetezj wa ligi kuu Uingereza timu ya Leicester City baada ya kuwatoa Valencia sasa watapambana na Athletico Madrid,Athletico wana njaaa na ubingwa safari hii baada ya kupoteza katika fainali iliyopita ya Champions League.Leicester hii sio mara yao ya kwanza kukutana na Athletico kwani wameshakutana mara mbili hapo kabla ikiwa ni mwaka 1962 na 1998 huku Leicester akipoteza michezo yote miwili.

Miamba ya Ujerumani Borrusia Dortmund nao watakuwa
wenyeji wa Monaco ambao waliitoa Man City katika mechi za 16
bora.Dortmund wenyewe walifudhu katika hatua hii baada ya kuwatupa nje
klabu ya Benfica ya Ureno.
Mechi kali itakayovuta hisia za watu ni kati ya mabingwa
wa Ujerumani klabu ya Bayern Munich ambao watacheza dhidi ya mabingwa
wa Ulaya klabu ya Real Madrid.
Comments
Post a Comment