Msanii wa Bongo Fleva, Chini Bees amesema hawezi kubadilisha jina ili kumkwepa Chid Benz.
Wiki iliyopita rapper Chid Benz alimtaka msanii huyo kubadili jina kwa sababu yanafanana kitu ambacho Chin Bees amekuja kukupinga.
“Mimi siwezi kubadilisha jina kwa sababu ya Chid Benz kwa sababu halifanani, very different. Mimi nafanya muziki wangu, siwezi nikakaa nipiganie jina, hivyo bro kama anahitaji jina dah!, sidhani kama jina langu linaendana na lake me am do my thing,” Chin Bees amekiambia kituo kimoja cha Television nchini.
Sababu ya Chid Benz kumtaka Chin Bees kubadili jina alidai kwanza yamefanana na pili yeye ana hit song song 32 huku akiadai C. Bees hana hata nyimbo saba, hivyo hawafanani.

Comments
Post a Comment