Mabingwa wa Premier League, Chelsea FC wamekamilisha usajili wa mlinzi wa timu ya Taifa la Ujerumani Antonio Rudiger kutoka Klabu ya FC Roma ya nchini italia(serie A) kwa dili lenye thamani ya pound 31m ambayo inaweza kuongezeka hadi pound 35m.
Antonio Rudiger mwenye umri wa miaka 24 amesaini mkataba wa miaka mitano kutumika Stamford Bridge baada ya kufanya vipimo vya afya Jumapili.
Comments
Post a Comment