Skip to main content

Posts

TENA VIDEO MPYA (WAKA WAKA) - DIAMOND NA RICK ROSE .. DUUUUH.!! Hii sasa sifa !

Recent posts

MAUA SAMA KAFA KAOZA KWA ROSTAM..!!

WEUSI - LAZIMA UJE !

HII MIMI NASEMA NI DHULMA YA WAZI WAZI KATIKA SOCCER. !

KWELI WCB KIBOKO DUH ! JIONEE MWENYEWE MAFREESTYLE.

Nedy Music Katisha babaa hii ngoma sio ya nchi hii !

KUELEKEA MCHEZO WA REAL VS UNITED, HIZI NDIO TAKWIMU NA RECORDS ZA UEFA SUPER CUP.

Msimu mpya wa soka barani Ulaya unatarajiwa kuanza rasmi leo wakati utakapopigwa mtanange utakaowakutanisha wababe wa ulaya msimu uliopita. Mabingwa wa Champions League Real Madrid na mabingwa wa Europa Cup Manchester United. Mchezo huu utapigwa nchini Macedonia mashariki mwa bara la ulaya, kuanzia majira ya 9:45 usiku. Mchezo huu unakutanisha miamba mikubwa ya soka barani ulaya siku chache baada ya kukutana nchini Marekani katika mechi za maandalizi ya msimu mpya.  Cristiano Ronaldo amerejea mazoezini wiki iliyopita na leo ametajwa katika kikosi kinachosafiro kuelekea Macedonia kwa ajili ya mchezo huo, United watamkosa Eric Bailly pamoja na Phil Jones wenye adhabu za kufungiwa mechi kutokana na makosa ambayo waliyatenda msimu uliopita. Kwa kuanzia kuuchambua mchezo huu tuanze kuangalia takwimu mbalimbali zinazohusisha mchezo wa UEFA Super Cup tangu ulipoanzishwa kuchezwa mnamo mwaka 1973. Champions League vs UEFA Cup Winners • Mabingwa wa Champions League wames...